Jinsi ya kuruka vihunzi vya mwanume anayekutongoza mara kwa mara citiMuzik November 15, 2020 Miongoni mwa kero ambazo huwakumbuka wadada wengi ni pamoja na kutongozwa, jambo hili huwa halikwepeki kwani lipo tu. Hivyo kama wewe ni ... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Maneno 6 mazuri ya kumfurahisha mpenzi wako citiMuzik December 31, 2019 Ukitumia maneno mazuri kwa mpenzi wako unampa furaha na kumwonyesha kuwa yeye ndiye mtu wa kipekee kwako duniani. Kama unaye mpenzi, anza ... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Tabia za watu wenye usaliti katika mahusiano ya kimapenzi citiMuzik December 30, 2019 Usaliti ni jambo baya sana katika mahusiano, usaliti si ujanja japo wengi wanaowaza kusaliti huwa wanajiona wajanja. Wanajiona wamefanikiw... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Kuna tofauti gani kati ya kupenda na kutamani? Chief December 28, 2019 Hapo zamani kulikwepo na Mwalimu mmoja anayejulikana mpaka leo hii, aitwaye Buddha. Kutokana na busara zake na hekima zake, alifahamika na... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Mbinu za kumfanya mwanamke ajigonge kwako kirahisi citiMuzik December 28, 2019 1. Mfanye mwanamke ajieleze kwako Unaweza kumuuliza swali kama “Ni kitu gani ambacho kinakufanya unique/tofauti na wengine?” Ama kumwamb... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Njia 31 ambazo zitamfanya mwanamke akupende zaidi. citiMuzik December 27, 2019 1. Mwambie yeye ni mzuri na sio uko sexy au hot 2. Mshike mkono wake kwa kuwa unampenda na sio unazingua 3. Mtumie sms nzuri ya kumwam... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Mambo yatakayomfanya mpenzi wako asikuache kamwe citiMuzik December 26, 2019 Upendo ni kitu ambacho hakizuiliki. Napale patakaposhikilia ule upendo ipasavyo ndo husikii wala huoni utakaloambiwa juu ya akupendaye. ... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Mpenzi wako akiwa ana tabia hizi muache aande citiMuzik December 25, 2019 Ebu litambue hili vyema ni muhimu sana kuelekezea nguvu zako, muda wako na upendo wako kwa anayekupenda.. Hapa nina maana kwamba mpende ... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Dalili 13 za mwanaume anayefaa kuwa mchumba wako. citiMuzik December 24, 2019 1. Huwa anapanga mambo na wewe. Ukimwona mwanaume ambaye anakuhusisha katika maamuzi yake basi fahamu hapo ndipo. Mwanaume ambaye ataku... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Mambo 6 ambayo Mwanamke hawezi kuyaweka wazi katika Mahusiano citiMuzik December 24, 2019 Unapoanzisha mahusaino na mwanamke yeyote yale fahamu fika yapo baadhi yavitu hawezikukkwambia na baadhi ya mambo hayo ni; 1. Idadi ya w... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Mwanamke bora katika maisha ya ndoa hujengwa na mambo haya citiMuzik December 24, 2019 Maisha halisi ya mwanamke anayetarajia kuwa mke/ mke tayari hii ni kumaanisha kuwa wanawake mashujaa tunapaswa kuishi maisha ambayo yanatu... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Sababu 7 zinazopelekea wanaume wengi kukimbiwa na wanawake citiMuzik December 23, 2019 Imezoeleka katika jamii kwamba wanaume hukimbiwa na wanawake kwa kukosa kipato au alichonacho ni kidogo, au muonekano na maumbile ya mwana... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Kwanini wanawake wanapenda wanaume masharobaro aka Bad Boys citiMuzik December 23, 2019 Wanawake kuchagua wanaume masharobaro aka badboys kuwaliko wanaume wa kawaida si jambo geni na hutokea mara kwa mara. -aidha katika vyuo, ... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Funzo kubwa kwa wanawake wote walio kwenye ndoa citiMuzik December 22, 2019 Kumuamsha mdada wa kazi saa 11 alfajiri na kuwaacha binti zako wamelala Ni kumuandaa binti wa kazi kuwa mke Bora kuliko wanao. Eti kumtu... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Mambo yatakayokufanya uonekane bora kwa mpenzi wako muwapo chumbani. citiMuzik December 21, 2019 Wapenzi ambao wapo katika uhusiano lakini hawajui mambo ya kufanya ili wawe bora kwa wapenzi wao. Mada hii itagusia pande mbili. Upande w... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Jua jinsi ya kumdhibiti mpenzi anayepiga mizinga citiMuzik December 20, 2019 MWELEZE UKWELI Kama huna pesa wakati mpenzi wako anakuomba, mueleze wazi kuwa huna na kamwe usijaribu kutoa ahadi ambazo huenda ukashindw... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Mambo 20 yanayoonyesha una ukichaa wa mapenzi. citiMuzik December 19, 2019 1. Kushika mimba ukadhani ni mtego ili uolewe. 2. Kutafuta mkamilifu wakati tabia zako tunakuvumilia tu. 3. Kutafuta msichana mrembo w... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
SMS ya kumuomba umpendaye akukubalie - sms za mapenzi citiMuzik December 18, 2019 Pindi nikukumbukapo chozi langu huwa linatoka bila sababu, kasi Ya mapigo ya moyo Huongezea Pasipo Sababu, nimegundua Nakuhtaji Naomba... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Hiki ndio kiwango sahihi cha kupishana umri kati ya wachumba wanao-tarajia kuoana citiMuzik December 17, 2019 Kwa Wanamme Inashauriwa kwamba kwa mwanaume miaka 5 hadi 10 inafaa kupishana na mwanamke anayetarajia kumuoa. Kwa maana ya kwamba mwanaum... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+
Hatua 4 muhimu zitakazosaidia kudumu katika mahusiano citiMuzik December 17, 2019 Mahusiano ya mapenzi yenye kudumu ni sharti yapandwe katika udongo wenye rutuba kama ulivyo mmea,yatahitaji maji ya kumwagilia na mbolea ... Continue Reading Share This: Facebook Twitter Google+