Wednesday, December 18, 2019

SMS ya kumuomba umpendaye akukubalie - sms za mapenzi


Pindi nikukumbukapo chozi langu huwa linatoka bila
sababu, kasi Ya mapigo ya moyo Huongezea Pasipo
Sababu, nimegundua Nakuhtaji Naomba Unikubalie.