Monday, December 2, 2019

SMS ya kutuma kwa mpenzi wako asubuhi - sms za mapenzi

SMS ya kutuma kwa mpenzi wako asubuhi - sms za mapenzi
Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letu
Ndilo sababu ya nguvu yangu
Tangulia pembeni mwa macho yake
Asubuhi hii hadi usiku ujao.