Thursday, December 19, 2019

Je bikra inaweza kurudi baada ya kutoka?

Je bikra inaweza kurudi baada ya kutoka?
Ndio njia pekee ya kurudisha bikra ni kufanya upasuaji wa kuishona tena ile ngozi ya ndani ambayo inatambulika kama kipimo cha bikra, ngozi ile hushwona na baada ya mwezi mmoja hupona na mwanamke hua kama bikra tena. Njia hizi wamekua wakitumia wanawake wanaotaka kuolewa haraka.