Sms za mapenzi zenye maneno matamu kwa mpenzi wako
If you love someone, you give everything as you can and don't expect to receive anything in return.****
Ni vigumu kumpata mwenye mapenzi ya kweli na zaidi yule atakayekuwa tayari kukupenda zaidi, hivyo nafasi inapopatika si busara kuichezea tudumishe penzi letu laazizi wangu.
****
Mpenzi nakupa pole sana maana nimesikia habari mbaya kwamba unatafutwa na polisi kwa kosa kubwa sana ambalo huwezi kulikana na lina ushahidi wa kutosha kwamba unatuhumiwa kuiba moyo na mawazo yangu kiasi cha kunijeruhi mawazo yangu hadi sasa naonekana kama chizi.
****
When you will find any reason for your love,you should know that your love is not true....because true love has no reasons...
****
You don't have to love in words; even through the silences love is always heard. I Love You Honey! The way you look into my eyes It scares me The way you say "I love you"
****
Nakupenda mpenzi W nafasi uliyotawala moyoni mwangu ni kubwa, hakuna ambaye anaweza kufikia uhodari wako, wewe ni mtu muhimu sana maishani mwangu.
****
Just 3 words, i have to say it ,no matter where we are,no matter who were with, no matter how lond it takes i have to say i love you
****
Nakupenda sana mwandani wangu ndiyo maana moyo wangu hupatwa kidonda ninaokuona na mwingine hasa anapokuwa hana sifa, nahisi kama anakutumia wewe kama mdori wake wa kumfurahisha. Uwe makini ua la moyo wangu.
****
, I love u frm core of my heart.My Every beat of heart is u n wen it pumb blood frm heart n blood goes to brain it again remember's u....I LOVE U
****
I wish my eyes could speak what my heart feels for u bcoz my lips could lie on what is true.My eyes couldn't bcoz even if would close them i would still see u ....... love you still n after my last breath
****
Nakupenda mpenzi wangu, sifikirii kitu chochote zaidi yako na kwa kuwa nakupenda sipendi kuwa na urafiki hata na msichana kwani atakuwa anabana nafasi niliyokuwekea wewe. Noamba unipende nami nakupenda kila sikunde inayopita maishani mwangu. Mwaaaaaaaaa baby.
****
Penzi lako ndiyo pumzi yangu nawezaje kukuacha laazizi, ina maana nife??? Siwezi kukuacha nakupenda. Nitakupenda mpaka mwisho wa uhai wangu.
****
I LOVE you not for who you are, but for how you make me feel... Every time you touch me i can feel my heart going BOOM BOOM BOOM and it goes faster and faster. When you are not next to me i feel like a part of me
****
Asali wa moyo wangu, fahamu kuwa unaweza kuamini kwamba mwanga wa nyota unaweza kuunguza nyumba, jua linaweza kusimama, lakini usiwaze hata siku moja kuwa naweza kukuacha.