SMS ya kujivunia mpenzi wako - sms za mapenzi Tunda langu laangaliwa hawajui nilipoli chuma, utamu wake maridhawa, hakika utalipenda. si mpi tunda langu mwingine na lila mwenyewe.