SMS ya kumtakia mpenzi wako jioni njema. Ni matumaini yangu kuwa u salama. Nakukumbuka sana mpenzi wangu. Uwe na jioni njema.