Je, kukojoa au ku-squi*t mara kwa mara kunaweza haribu mimba?
Hapana. Licha ya ukweli kuwa wakati wa ujauzito uke huzalisha kemikali ambazo ni mahususi kwa ajili ya kumkinga mjamzito na uvamizi wa bakteria wowote wanaoweza kuwa tishio kwa ujauzito wake, na kwamba kemikali hizi wakati mwingine huweza kuhitilafiana na lile bao analopiga mwanamke na hivyo kumletea hali fulani ya kukwaza, kwa ujumla wake hakuna baya linaloweza kusababishwa na kukojoa au kufika kileleni.Na wala kufanyana hakuwezi kuathiri kwa namna yoyote ile muda wako wa kujifungua (kuuchelewesha au kuuwahisha)