Saturday, December 21, 2019

Sms kwa mpenzi wako kumwambia hutopenda mwingine zaidi yake


Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu "SINTOMPENDA MWINGINE ZAIDI YAKO"