Monday, January 21, 2019

Hawa ndio wanasayansi waliogundua virusi hatari vya UKIMWI.

Wafahamu Luc Montagnier na Robert Gallo, Wanasayansi waliogundua Virusi Vya UKIMWI
Jinsi alivyogundua virusi vya ukimwi
Mwaka 1982, Willy Rozenbaum, daktari katika hospitali ya Hôpital Bichat mjini Paris, alimuomba msaada Montagnier kugundua kitu kinachosababisha ugonjwa mpya ambao haukujulikana kwa wakati ule,ambao leo ndiyo UKIMWI, kwa wakati ule waliuita (Gay Related Immune Deficiency), ambapo kwa wakati mwingine Mwanasayansi Rozenbaum alipendekeza katika mkutano wa wanasayansi kwamba sababu ya ugonjwa inaweza kuwa retrovirus (aina ya virusi).

BOFYA HAPA KUENDELEA KUSOMA JUU YA wanasayansi waliogundua virusi hatari vya UKIMWI.


BOFYA HAPA KUENDELEA KUSOMA JUU YA wanasayansi waliogundua virusi hatari vya UKIMWI.