Nchi 10 zilizotoa washindi wengi wa Miss World.
Hizi ni nchi zilizotoa miss world mara nyingi zaidi kuliko nchi nyingine zozote. Miongoni mwa nchi hizi ni pamoja na Jamaica iliyotoa Miss World mara tatu:1.Venezuela - 6
2. India - 5
3. United Kingdom - 5
4. South Africa - 3
5. United States - 3
6. Iceland - 3
7. Jamaica - 3
8. Sweden - 3
9. China - 2
10. Russia - 2