Monday, December 9, 2019

Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2019/2020

THE NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA (NECTA) is Government Institution which was established by the Parliamentary Act No. 21 of 1973. NECTA is responsible for the administration of all National Examinations in Tanzania.

CLICK below To view Form Four NECTA and QT Results 2019/2020


Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2018/2019

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2018 ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 1.29 kutoka asilimia 77.09 mwaka 2017 hadi asilimia 78.38.

Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne 2018/2019. Tazama hapa


Shule 10 bora zilizofanya vizuri matokeo ya kidato cha nne 2018/2019


Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2017/2018

Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limetangaza matokeo ya kidato nne ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia saba.

Jumla ya watahiniwa  385, 767 walisailiwa kufanya mtihani kidato cha nne mwaka 2017, kati yao 287,713 sawa na asilimia 77.09 ndio wamefaulu ambapo wasichana ni  143,728 sawa na asilimia 75.21 na wavulana 143,985 sawa na asilimia 79.06.

Link 1 == Bofya hapa kutazama Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne 2017/2018. Tazama hapa

Link 2 == Bofya hapa kutazama Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne 2017/2018. Tazama hapa