Thursday, June 20, 2019

Mishono mipya na bomba zaidi ya vitenge kwa warembo

Mishono bomba zaidi ya vitenge kwa warembo.
Karibu Citimuzik leo tumepata fursa ya kukusogezea Mishono bomba zaidi ya vitenge kwa warembo ambayo inabamba zaidi katika kizazi hiki, Lengo letu ni kuhakikisha kwamba hupitwi na Mitindo yoyote mipya ya mavazi.