Vijana wakimya wanabahati sana ya kupendwa na wasichana
Nimekuja kugundua wanawake hawapendi sana mwanaume mjuaji. Kuna watu wakimya sana hata akilewa yeye huwa anatabasamu tu, basi wewe utaongeeaaa, utapiga storiii na kujifanya kila kitu unajua lakini utashangaa mwisho wa siku aliyeenda kugegeda ni jamaa aliyekua hajachangia hata sentesi moja kwenye kiringe.Na wala huwezi jua amemtongoza huyo msichana saa ngapi, nimejaribu hii kitu imenishinda aisee, yaani Safari zikishafika tatu tu, yaani naongea mpaka mishipa ya kichwa inanitoka.
Kwa kweli ukimya ni kipaji.