Tofauti kati ya binti wa kizungu na binti wa kibongo.
Tofauti ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo pale ambapo Mwanaume wake atokapo kuoga.Binti wa Kizungu: Baby you look nice and fresh.
Binti wa Kibongo: Naona safari imeiva, Mwanaume hupumziki kama nesi wa zamu.