Monday, December 2, 2019

Mambo 10 ambayo wanawake wamewazidi wanaume


1. Wana nguo nyingi kuliko wanaume.

2. Wanafahamu nani ni baba halisiwa watoto wao.

3. Ni wepesi kupenda nawakipenda hupenda kweli.

4. Wanaoga mara nyingi zaidi kwa siku.

5. Wana huruma sana ingawa mara nyingi huwa inawaponza.

6. Wana uwezo wa kubadilisha tabia ya mwanaume muda wowote.

7.Wana uwezo wa kuishi nakupendeza bila kuwa na kazi wala biashara yoyote.

8. Kwao nywele na kucha ndo vitu vya kwanza kufikiria wakitaka kutoka.

9. Wana uwezo wa ku-pretend kwa muda mrefu zaidi hasa kwenye mapenzi.

10. Hawapendi pesa