Sms za mapenzi kuelezea unavyompenda
Kweli nimeamini asali ya damu ni tamu, utamu wa asali ya damu iliwe na wawili wenye kupendana, hivi unaweza kuniambia asali yangu ni tamu kiasi gani, nimeonja yako nitamani kila saa niitambe..sogea unipe asali nijirambe sweet wangu….Nakupenda..*********
Ask my eyes to stop looking at you... Ask my brain to stop thinking about you.. Ask my imagination to stop dreaming about you.. Ask my heart to stop beating. Ask me everything. But don't u ever stop me from loving you.
********
Ugali, pilau, ndizi na nyama si vitamu unajua kwanini? Ukiula haupigi kelele, haukutoi machozi, kuna kitu kimoja ambacho hakiwekwi jikoni lakini cha moto na kitamu sana, nakipenda sana chakula chako kwani hakipoi milele, hakiishi utamu, ukila lazima ujirambe…
*******
Mapenzi ya senema yana mwisho, mapenzi ya kweli talaka yake kifo, sasa mbona nimekupa mwili wangu umeingia mitini, tambua mapenzi ya kuonja si mema, kuwa na mimi ili usiendelee kuutesa moyo wangu..I need you....
******
Kama hunihitaji kwanini unitafutie sababu ya kuniacha, sweet najuta sana kukukubalia, umenifedhehesha kwa rafiki na ndugu zangu, ni wengi walitaka tuachane sasa sherehe kwao, naomba turudiane..kama nina kosa nijirekebishe hakuna mkamilifu sweet wangu…
*******
Penzi tamu ni langu, umetunukiwa ndani ya moyo wangu, niwapo kifuani napoteza kumbukumbu zote kwa utamu wa penzi lako, tupendane tusiachane wacha waseme usishituke na tuaminiane tusianguke....mapenzi sio matusi..njoo unifariji...
*********
Sweet napenda kuzama chumvini kunako bahari, napenda kugusa shangazi zako ninywapo maji ya bahari iliyosalama, penzi tamu halipimwi kwa macho, njoo upate vingi vitamu visivyoisha ladha..Nakupenda sana baby wangu...
******
Love the heart that hurts u, but never hurt the heart that loves u, coz for the world u may be someone but for someone u may be world.
********
What is the difference between blood and you? Blood enters the heart and flows
out but you entered the heart and stayed.
*********
Sweet unajua kwanini ninapokubusu nafumba macho, unaponipa mautamu pia nafumba macho. Fahamu vitu vitamu siku zote vinaingia kwa moyo na kumfanya apate raha na utamu afumbe macho, usishangae pia nikihema kwa kasi si kuchoka mpenzi bali ni raha….
******
Anayekupenda hahesabu makosa, haweki kitu moyoni, hafichi siri zake, hapendi kumuudhi mpenziwe ikitokea huomba radhi, hana kiburi na dharau, hajisikii wala kujiona. Anakuwa tayari kusamehe.Je, wewe vipi? Mbona hujanisamehe?