Sms kali ya mapenzi kuhusu upendo
Upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka… Upendo ni lugha, Kwamba kila mmoja anaongea, Upendo hauwezi kununuliwa, na icyo kadirika na ya bure, Upendo kama uchawi safi, ni siri ya maisha matamu. Nakupenda mpenzi.Hakika kama ni mume MUNGU kanipatia, kuwa nawe najiona kama malkia. Nakupenda mpenzi na daima nitaenzi penzi lako.
Usimpende mtu tuu kwa sababu uko mpweke Au kwa sababu ana pesa, kwa sababu upendo sio pesa wala siluhisho la matakwa yako.