Wednesday, January 23, 2019

Sms kali 7 za mapenzi kwa bae na boo.

Sms kali 7 za mapenzi kwa bae na boo. 
1. Nashukuru kwa miguno uliyonipatia na kiuno kunikatia, utamu niliousikia
nilitamani kulia hatima ilipowadia, nakupenda dia usije utamu wangu mwingine
kumpatia! Luv u

2. Wikiendi ndiyo imeisha, majukumu hatunabudi kuyatimiza dear, kuwa nawe muda mrefu
nimefurahia nakujihisi malkia katika hii dunia kuwa nawe najivunia. Luv u

3. Giza ndiyo laingia natamani ungekuwepo nipate kukumbatia, hakika nimechoka mto
kukumbatia nakukesha ndotoni nikikufikiria, nakumiss dear fanya hima nyumbani
kujongea wazazi wapate kukutambua! Nakupenda dear

4. Hakika najutia kwa mambo unayonifanyia, nilijitoa kwa moyo wote na mwili wangu
kukuachia chochote utakacho kunifanyia ruhusa nilikupatia nikiamini utatulia
kumbe kunichezea ilikuwa yako nia, umetimiza sasa waniringia. Asante na Mungu
atanisaidia , kilio changu tena hutosikia . Stay blessed

5. Hakika raha wajua kunipatia, fimbo wajua kuitumia sharti mtoto wakike nabaki
nagugumia kwa raha unayonipatia ambayo wengi wanaililia , plz utamu wangu
nitunzie!

6. Uko wapi wangu malkia, mwenzio hamu nasikia nawe ndiye ujuwaye hamu kunitoa,
tafadhali dear upatapo msg hii tambua nyumbani nakusubiria! Luv u

7. Nisamehe la azizi ukweli mbona uko wazi, yule si wangu mpenzi ila ni rafiki yangu
kipenzi, yangu mapenzi ni wewe pekee nayekupa mpenzi, katika hii dunia ni wewe
pekee penzi nayekupatia!