Sababu zinazosababisha wanawake wengi kutofika kileleni - Tendo la ndoa
Wanawake wengi nchini na duniani kwa ujumla wanasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa (lack of libido) pamoja na tatizo la kutofika kileleni. Sababu zinazo changia tatizo hili zimegawanyika katika makundi makuu mawili :A. Sababu za kimwili "Physical"
1. Anaemia ( ugonjwa huu ni very common kwa wanawake kwa sababu ya kupoteza madini ya chuma wakati wa hedhi )
2. Ulevi Kupita kiasi ( Alcoholism )
3. Utumiaji wa Dawa Za Kulevya ( Kama Vile bangi n.k )
4. Magonjwa makubwa kama vile kisukari.
( Sababu zipo nyingi sana, hizi ni baadhi tu )
B. Sababu za kisaikolojia "Psychological"
1. Depression
2. Stress and overwork
3. Anxiety " Woga"
4. Kunyanyaswa kijinsia ama kubakwa wakati wa utotoni
5 Kuwa katika matatizo makubwa na mpenzi wako.
6. Kuishi katika mazingira magumu mfano kushare nyumba ama chumba na wazazi wako, wakwe zako ama watoto wako.