Wednesday, December 25, 2019

SMS nzuri za Christmas na mwaka mpya kwa mpenzi na watu uwapendao.

Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani
nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi
kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali
hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI.

Merry Christmas and Happy New Year Babe

********

Rafiki mwaminifu ni mlinzi mahiri na aliyempata
amepata hazina isiyokuwa na kifani,
Ahsante kwa kuwa rafiki mwaminifu.

Merry Christmas and Happy New Year

********

Leo lazima nikupe ukweli wako hata ikuchome poa tu,
ikuhuzunishe sitojali, ukinunia milele safi tu,
ukizimia shwari si kuwa nakuogopa vile upo mbali wala!
Hata tukiwa karibu nitakuambia tu, maana umezidi kila siku
nilikuwa nasahau kukwambia kwamba ni mmoja ya watu ninaowapenda.

Merry Christmas and Happy New Year

*********

Huna haja ya kulia kwa yaliyotokea, kwani si wakwanza katika hii dunia,
changamoto ni sehemu ya maisha, wote tunakutana nazo katika hii dunia,
tulia na vumilia Mungu atakusaidia, 2020 atakujaza baraka tele tele,
pole na hongera rafiki yangu kipenzi ndiyo mambo ya dunia!

Merry Christmas and Happy New Year

*********

Nkitu cha thamani nitauzunika nitasahau
ila nikikupoteza wewe ni pengo lisilozibika kamwe.

Merry Christmas and Happy New Year

*********

Niseme nini ujue nakupenda? Nifanye nini ujue nakupenda?
Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yako upo moyoni
mwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kuwa
nakupenda, niamini mpenzi

Merry Christmas and Happy New Year

*********