Tuesday, December 3, 2019

SMS ya mapenzi ya mahaba kwa mpenzi wako aliyeko mbali

SMS ya mapenzi ya mahaba kwa mpenzi wako aliyeko mbali

Kuna bahari kati yetu. Misitu na milima inatutenganisha,
mimi si ‘Supamani’ lakini nipe sekunde moja nitavuka nchi
nyingi kukutumia mapenzi yangu.
Umeipata hiyo? Pokea mapenzi yangu japo uko mbali.