Tuesday, December 31, 2019

Jinsi ya kupika chapati za kuchambuka za kimorocco | Flaky chapati recipe (+Video)

Jinsi ya kutengeneza chapati za kuchambuka

Mahitaji:

  • Vikombe 6 unga wa ngano /800g
  • Vikombe 3 kasorobo semolina / 400g
  • Kijiko 1 kidogo chumvi
  • Vijiko 2  vidogo sukari
  • Maji
  • Samli
  • Mafuta
  • Kijiko 1 kidogo baking powder + kikombe 1 semolina
Specila Credits: Mapishi Rahisi (Subscribe channel yao youtube na ujifunze zaidi kuhusu mapishi) 

 Jinsi ya kupika chapati za kuchambuka za kimorocco | Flaky chapati recipe (+Video)