Sunday, December 1, 2019

Aslay - Natamba Lyrics

Natamba, Natamba Aaa

Verse 1 | Aslay - Natamba Lyrics
Kilicho nishawishi upole wako, na heshima yako,
wazazi wangu wamekusifia sana kwa tabia yako,
Sura yako ya upole, inanivutia,
Shepu Twiga mwenda pole, najivunia,
Oh tupeane mapenzi iwachome(Eeee),
Nakama namba waisome(Eeee),
Hata tukigombana wasione(Eeee),
Washike jembe wakalime(Eeee),
Mapenzi mazuri wakutane wawili wanaopendana,
Usizidishe washauri, watasababisha tuje kugombana,

Chorus | Aslay - Natamba Lyrics
Aaaaae! angalia shepu, Aaaaae! Ka-Wema Sepetu,
Aaaaae! Angalia jicho, Aaaaae! Hamissa Mobetto,
Aaaaae! Karangi kake, Aaaaae! Elizabeth Michael,
Aaaaae! Yani we mrembo, Aaaaae! Walah nachukua jiko,
We ndio wangu wa milele,

Verse 2 | Aslay - Natamba Lyrics
Nauza dagaa, ili ninunue motorcar nikuridhishe,
Unanipa furaha, na nguvu ya kusaka chapaa nisikuangushe,
Unanyota ya Adam na Hawa(Ohooo), Tunavyopendana,
Hata wakituchukia ni sawa (Ohooo), Tuaminie Mama,
Wanaona umenipa dawa (Ohooo), wanaongea sana,
Chunga usije kuota mbawa (Ohooo), Ukaniachaga kilema,
Katabiri pweza penzi litafika mbali, Nacheka kiingerza,
Ndio maana nacheza ya watu natupia mbali, Mh Jamani,
Katabiri pweza penzi litafika mbali, Kwakweli hamtoweza,
Ndio maana nacheza ya watu natupia mbali,
Basi baby nikumbatie mama

Chorus | Aslay - Natamba Lyrics
Aaaaae! angalia shepu, Aaaaae! Ka-Wema Sepetu,
Aaaaae! Angalia jicho, Aaaaae! Hamissa Mobetto,
Aaaaae! Karangi kake, Aaaaae! Elizabeth Michael,
Aaaaae! Yani we mrembo, Aaaaae! Walah nachukua jiko,
We ndio wangu wa milele, milelee