Sunday, December 1, 2019

Siri 6 za kumpata mpenzi bora

Siri 6 za kumpata mpenzi bora
Jinsi ya kupata mpenzi bora

1. Lazima na wewe uwe bora kwanza

2. Lazima na wewe ujiheshimu

3. Acha kulalamika lalamika.

4. Kama unataka mwenye gari hakikisha na wewe unalo la kwako!

5. Ukitaka msomi akikisha na wewe umesoma

6. Ukikosa kabisa
Njoo kwangu nikulambe vibao ili akili ifunguke! UTANI LAKINI UMEELEWA