Tafiti tofauti zimeonyesha kuwa wanawake wana sehemu za siri zisizofanana ambapo baadhi yake ni ndogo na zingine ni kubwa.
Ni nini unachofahamu kuhusiana na uke?
Uke ni kiungo ambacho kinaaminika kuwaletea wanaume furaha na uchungu pia. Kiungo hicho kimetumiwa vibaya na baadhi ya wanawake.
Yafuatayo ni mambo kuhusiana na uke ambayo huenda huyajui.
Sehemu ya kinembe (ncha ya uke)
Huwa na seli nyingi za neva kuliko ilivyo eneo la ncha katika uume
Sehemu hii ndio husaidia wanawake kuvutiwa na wanaume na pia hufanikisha ngono.
Inafaa kuelewa kuwa upeo wakati wa kushiriki ngono ni mzuri kwa sababu husaidia kupunguza kuumwa na kichwa kutokana na homoni ambayo husaidia kupunguzwa kuumwa na kichwa.
Watafiti tofauti wameeleza kuwa mavuzi katika uke husaidia kupunguza msuguano wakati wa kufanya ngono na kufanya mandhari ya kufanya ngono kuwa mazuri.
Mavuzi pia husaidia kutega harufu ambayo wanaume hupenda sana wakati wa kufanya ngono.
Kulingana na watafiti, sehemu ya kinembe inaweza kurefuka sana ikichangamshwa.
Lakini imeaminika kuwa wanaume hupenda uke mdogo ambao kwao huvutia na kuwatia motisha kufanya ngono.
Monday, April 1, 2019
Mambo ya kushangaza kuhusu UKE wa mwanamke yafichuliwa.
Ukipata mwanamke mwenye sifa hizi 16 usimwacheMay 19, 2020
Njia 5 za kutambua kama una UKE mpana/mkubwaMay 01, 2020
Sababu zinazomfanya mwanamke akunyamazieDec 28, 2019
category
TENDO LA NDOA,
UKE,
WANAWAKE