Wednesday, April 10, 2019

Jinsi ya kutongoza wanawake waliokuzidi umri (majimama)

Jinsi ya kutongoza wanawake waliokuzidi umri (majimama)
So, kama unataka kujua jinsi ya kuwatongoza wanawake wakubwa basi hizi mbinu saba zitakusaidia vizuri.

1. Thamini kile ambacho anakupatia
Kama unataka kujua jinsi ya kutongoza wanawake wakubwa kiumri, basi unapaswa uthamini  kile ambacho anacho. Kwa lugha nyingine ni kuwa unapaswa kusimamisha fikra zako za kuangalia miaka yake au mikunjano ya uso wake, na uanze kufikiria mambo ambayo anaweza kugawa na wewe ikiwemo mapenzi. Wanaume wengi hudhania kuwa wanawake wadogo ndio huwa na ujuzi ikija na maswala ya mapenzi lakini huwa si ukweli.

Ijapokuwa ni kweli kuwa kujua jinsi ya kutongoza wanawake wakubwa kunahitaji mmoja kuzoea, yaani utahitajika kuthamini na kutambua umri wake, kiujumla; utakuja kujua baadaemkuwa utakuwa umechukua hatua kubwa katika kudeti wanawake wadogo na wale wa wasiwasi. Kwa mfano hutapata mwanamke aliyekomaa akikimbia kwenda msalani ili kuongea na mashoga zake kuhusu deti aliyoko. Hii bila shaka itakuwa ni mwamko mpya wa kutongoza na pia utaboresha uwezo wako wa kutumia mistari kiurahisi na haraka.

2. Mnyeshee heshima
Wakati unapojifundisha jinsi ya kumtongoza mwanamke mkubwa, weka kwa akili yako kuwa atataka kupewa heshima  zake zaidi ya vile wanawake wadogo utakavyowapatia. Hii ni kwa sababu ana experience ya juu zaidi ya maisha.

Na kwa sababu ambazo zitategemeana na yeye, mwanamke aina hii anaweza kuwa asiwe huru kufunguka na kukueleza maisha yake ya zamani ama kukufungukia kuhusu maisha yake. La muhimu zaidi ni kuwa usimwonyeshe kuwa lengo lako kuu kwake ni kumuonyesha kuwa unatoka deti na yeye ama una uhusiano wa kimapenzi na yeye kwa sababu huna jingine la kufanya au umelazimika. Michezo kama hii haiwezi kufanya kazi kwa mwanamke aina hii – kumbuka hilo.

3. Muonyeshe kuwa wewe ni classy, mjanja na usiyesomeka
Kama unataka kujua jinsi ya kuwatongoza wanawake wakubwa waliokupita umri, basi ni jambo la muhimu kabisa kuhakikisha kuwa unakuwa mjanja na kuwa na tabia za kukomaa. Wanawake wakubwa tayari wanaexprerience ya kuwa na deti ambazo zilikuwa mbaya awali, so kama unataka kumshawishi mwanamke ambaye ni mkubwa wako kiumri vizuri, basi utahitajika kupandisha gemu yako iwe ya juu.

Kimsingi, wanawake wakubwa hawatakuwa interested na wanaume wenye nyege ambao wanashindwa kumaintain gumzo la kawaida mara kwa mara. Badala yake watatafuta mwanaume ambaye ni gentleman ambaye anaweza kuongea kuhusu mambo ya kisiasa na yule ambaye anaweza kutofautisha aina aina za duvai ama angalau yule ambaye anaweza kuchagua sehemu nzuri ya kutoka dinner. So, kadri unapozidi kuwa mjanja, ndipo inazidi kuwa rahisi kumpata.