Ili uweze kuwa na siku nzuri basi unashauriwa kuanza siku yako kwa kutumia mchanganyiko wa maji ya uvuguvugu, asali mbichi, tangawizi, pamoja na limao.
Unashauriwa kutumia mchangayiko huu nyakati za asubuhi mara tu unapoamka ili kupata faida zifuatazo;
1. Husaidia kuyeyusha mafuta mwilini hivyo husaidia kupunguza uzito.
2. Ni kinga ya dhidi ya U. T. I Kwani mchanganyiko huu husafisha kibofu cha mkojo.
3. Husaidia kuupa mwili nguvu.
4. Huchochea mmengenyo wa chakula
Kunywa walau glasi mbili kwa siku yaani asubuhi na jioni.
Saturday, March 2, 2019
Faida 4 za maji ya uvuguvugu pamoja na asali mbichi
Hizi ndio faida 10 za kuota jua kiafyaMay 04, 2019
Hizi ndio faida 10 za kuogea maji ya baridiMay 03, 2019
Kula vyakula hivi kuokoa afya ya Nywele zakoApr 29, 2019
category
AFYA