Sifa na bei ya Tecno Camon 11 na Camon 11 Pro 2019
Sifa za Tecno Camon 11
Ukubwa wa Kioo – Inch 6.2 chenye teknolojia ya IPS LCD capacitive touchscreen, chenye uwezo wa kuonyesha rangi miloni 16 pamoja na resolution ya 720 x 1500 pixels, na uwiano wa 19:9 ratio (~269 ppi density).
Mfumo wa Uendeshaji – Android 8.1 (Oreo) na HiOS 4.1
Uwezo wa Processor – Octa-Core 2.0GHz.
Aina ya Processor (Chipset) – MediaTek Helio P22 Chipset.
Uwezo wa GPU – PowerVR GE8320.
Ukubwa wa Ndani – GB 32 ikiwa na uwezo wa kuongezewa na memory card hadi ya GB 128.
Ukubwa wa RAM – GB 3.
Uwezo wa Kamera ya Mbele – Megapixel 16 yenye teknolojia ya AI pamoja na LED Flash
Uwezo wa Kamera ya Nyuma – Ziko kamera mbili moja ikiwa na Megapixel 13 na nyingine inakuja na Megapixel 2 zenye AI, Autofocus na Flash ya Dual-LED flash.
Uwezo wa Battery – Battery isiyotoka ya Li-Po 3750 mAh battery.
Viunganishi – Wi-Fi 802.11 a/b/g/n, dual-band, WiFi Direct, hotspot, Bluetooth 4.0, A2DP, LE pamoja na GPS ya A-GPS. USB 2.0, USB On-The-Go.
Rangi – Inakuja kwa rangi tatu za Red, Black na Blue
Mengineyo – Haina Radio FM, Inatumia Line Mbili za Dual SIM (Nano-SIM,), Inayo sehemu ya kuchomeka headphone maarufu kama Headphone jack.
Aina za Sensor – Inakuja na sensor za Light Sensor, Compass, Proximity Sensor, Face ID Sensor na Fingerprint.
Uwezo wa Mtandao – 2G, 3G na 4G
Ulinzi – Inayo Fingerprint (Kwa Nyuma), na Ulinzi wa kutambua uso (Face ID).
Bei ya Tecno Camon 11
Kwa upande wa bei, Tecno Camon 11 yenyewe itauzwa kwa shilingi ya Kenya Ksh 15,000 sawa na Tsh 336,000. Kwa hapa Tanzania tegemea kuipata simu hii kuanzia Tsh 350,000 na kuendelea.