Sifa na bei ya iPhone X au iPhone 10 - 2019
Kampuni ya Apple leo ilitoa toleo jipya kabisa la iPhone X au iPhone 10, simu hii ambayo ina mabadiliko makubwa ya muonekano pamoja na maboresho mapya kabisa kwenye simu za iPhone.
iPhone X inakuja na maboresho mapya hasa kwenye uwezo wa kufungua simu hiyo kwa kutambua uso kwa kutumia sehemu ya Face ID pamoja na uwezo wa kutengeneza emoji zinazo cheza kwa kutumia sehemu ya Aniemoji, sifa zingine za simu hiyo ni kama zifuatazo.
Sifa za iPhone X au iPhone 10
Ukubwa wa Simu – 143.6mm x 70.9 x 7.7 mm
Uzito wa Simu – 174g
Ukubwa wa Kioo – inch 5.8 yenye teknolojia ya OLED True Tone display pamoja na resolution ya 2436 x 1125 resolution at 458 ppi, 625cd/m2 brightness, and 1,000,000:1 contrast ratio (Super Retina display)
Uwezo wa Processor – six-core A11 Bionic chip with 64-bit architecture, neural engine, and M11 motion coprocessor
Ukubwa wa RAM – GB 3 (haijadhibitishwa)
Ukubwa wa Ndani – Zipo Aina Mbili GB 64 na GB 256
Kamera za Nyuma – Zipo mbili zenye uwezo wa megapixel 12 wide-angle camera yenye f/1.8 aperture na nyingine yenye Megapixel 12 f/1.8 camera yenye f/2.8 aperture, optical zoom up to 2x, optical image stabilizatio
Kamera ya Mbele – Megapixel 7 yenye FaceTime camera with f/2.2 aperture
Ulinzi – TrueDepth camera for Face ID 3D facial recognition
Uwezo wa Wi-Fi – 802.11a/b/g/n/ac Wi‑Fi with MIMO
Uwezo wa Mtandao – LTE Advanced
Uwezo wa Bluetooth – Inatumia teknolojia ya Bluetooth 5.0
Mfumo wa Uendeshaji – iOS 11
Uwezo wa Kuzuia Kuinga Maji – IP67 splash, water, and dust resistance
Uwezo wa Battery – Inakaa hadi masaa 14 (ukiwa unaongea), Masaa 12 (ukiwa unatumia Internet), Masaaa 13 (ukiwa unangalia video) pamoja na Masaa 40 (ukiwa unasikiliza mziki)
Uwezo wa Chaji – inauwezo wa fast-charging inaweza kujaa chaji asilimia 50 ndani ya dakika 30.
Uwezo wa Kuchaji Bila Waya – Inauwezo wa Kuchaji bila waya huku ikiwa na teknolojia ya Qi wireless charging support
Bei ya iPhone X au iPhone 10
Dollar za Marekani $999 sawa na Tsh 2,250,000 (Bei inaweza kuongezeka kwa Tanzania)