Njia 3 za kuthibitisha mpenzi wako ni bikra
Idadi ya mabinti wanaoolewa wakiwa bikra inapungua kwa haraka. Hata hivyo, usife moyo kwani mabikra bado wanapatikana. Hizi hapa njia tatu za kukuwezesha kubaini iwapo mrembo wako hajalazwa na dume lingineNi vyema kufahamu kuwa kupoteza ubikra si mwanamke kuvunjika kizinda tu; kiwambo chaweza kuvunjika pasipo kushiriki ngono. Kwa mfano, msichana akicheza ama kuendesha baiskeli; kumaanisha kuwa bado binti huyo ni bikra.
Ubikra ni uhusiano wa kimapenzi sio tu kitendo cha ngono, maadili sawa na uadilifu; ni hali ya nafsi sio mwili. Yote tisa, hizi hapa ishara za kukusaidia kujua iwapo binti amevunja ubikra wake au la:
1. Anavyojibu maswali yako.
Ukimtupia swali hili yeye hujibu vipi? Iwapo ni mbichi atajibu kwa upole na kwa kuona haya. Mwanadada asiye bikra ataudhika na swali lako n ahata kukukasirikia. Ni kwa sababu swali hilo humbabaisha kwa sababu anajua vyema jibu lake.
2. Anarukia gumzo za ngono .
Binti aliye bikra ni mtu mwenye adabu zake, gumzo safi asiyependa kujivuna. Kwa sababu hana uzoefu mada za ngono kila mara zinamuingiza baridi; hutampata katika kikao hicho.
3. Anavyojionyesha kwa wanaume.
Mwanadada kuvunja ubikra wake ni kitendo chenye umuhimu sana maishani mwake. Vile vile, huja na mabadiliko makubwa ya kitabia. Ubikra ukishaondoka, mwanadada huanza kujiachilia sana kwa wanaume. Akiwa ni mwanafunzi utamwona akifanya ziara za mara kwa mara kwa ofisi za walimu. Hutahitaji kuambiwa anachosaka huko; kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.