Karibu Citimuzik leo tumepata fursa ya kukusogezea mishono mipya ya vitenge 2019 ambayo inabamba zaidi katika kizazi hiki, Lengo letu ni kuhakikisha kwamba hupitwi na Mitindo yoyote mipya ya mavazi.