Je, kwa nini mwanamke akiguswa na uume kwenye uke hutoa majimaji ukeni?
Kugusana kwa kutumia viungo vya uzazi ni njia mojawapo ya kuamsha hisia ya kujamii ana. Kama mwanamke anatoa majimaji baada ya kugusana na uume kwenye uke, ina maana kwamba ameshikwa na ashiki kubwa. Majimaji hayo yanarahisisha uume kupenya ukeni. Chanzo cha majimaji hayo ni vifuko maalumu vilivyomo ndani ya uke.Friday, January 25, 2019
Home
/
TENDO LA NDOA
/
UKE
/
UKENI
/
Je, kwa nini mwanamke akiguswa na uume kwenye uke hutoa majimaji ukeni?