Mapenzi ni upepo, mimi sivumi na kupotea, mapenzi ni mahaba sili nikamaliza, nikimaliza nitakula nini kesho? nakuahidi kukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipokuwepo.