1) Sina mtaji
2) Sina Connection
3) Nitaanza rasmi kesho
4) Mimi ni wa hivihivi tu
5) Mifumo mibovu ya Serikali ndiyo inayonirudisha nyuma
6) Mke/mme/ndugu zangu Ndiyo walioniangusha/kunitenda/kikwazo
7) Kupata ni majaliwa
8) Usilazimishe mambo
9) Kuna watu special siyo mimi.
10) Sina bahati
Sunday, December 8, 2019
Kauli 10 za mtu ambaye unatakiwa umuepuke maishani
Makosa yanayowakwamisha watu wengi kufanikiwaDec 28, 2019
Mizigo tuliyoibeba ambayo haina faidaDec 09, 2019
category
MAFANIKIO