Tuesday, October 1, 2019

Video chafu ya ngono ya Askofu Gwajima yavuja (+18)

Video chafu ya ngono ya Askofu Gwajima yavuja (+18)
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania, Josephat Gwajima amekanusha kuhusika na video ya ngono inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii.

Kuna video zinasambaa sana katika mitandao ya kijamii zinazodaiwa ni za Askofu mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, zikionyesha Baba Askofu Gwajima akiwa faragha na mwanamke, mbaya zaidi video hizo zinaonyesha baba Askofu akijirekodi mwenyewe akiwa na mwanamke huyu.

Baada ya video hizo za ngono kusambaa, Askofu Gwajima aliwaita waandishi wa habari na kutoa tamko.

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania, Josephat Gwajima amekanusha kuhusika na video ya ngono inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii.