Isikupite Hii: Sababu za kukauka UKE wa mwanamke wakati wa kufanya mapenzi.
Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu.
Leo tutaongelea Hasara na faida za kujichua au kujichezea kwa mwanamke.
Hasara za mwanamke aliyezoea kujichua.
Kujichua kwa mwanamke kiasili hakuna madhara yeyote, lakini kama unatumia au unajingizia vitu au vifaa Ukeni (Sanamu) zinaweza kukusababishia maaambukizo, "kutifua" misuli ya uke na kusababisha uke wako kulegea, nyama kujitokeza kwa nje.
Isikupite Hii: Maji kwenye UKE wa mwanamke wakati wa tendo la ndoa! Ni kero au raha?
Mazoea hayo yatakufanya kihisia udhani kuwa mwanaume hana uwezo wa kukuridhisha kingono na hivyo kumuomba akufanye kwa kutumia sanamu badala ya uume wake kitu ambacho nitakiita "madhara ya kujichua kwa kutumia sanamu".
Isikupite hii: Sababu za wanaume kuwa mapenzini na wafanyakazi wa ndani (house girls)
1. Kuongezeka kwa hamu ya kufanya mapenzi kwa vile utakuwa unajua utamu wake.
2. Kujua "vipele vyako viliko".
3. Kutokuusaulisha mwili wako ikiwa uko nje ya uhusiano au umeamua kuwa single kwa muda.
4. Kuepuka mimba na maambukizo ya virusi vya ukimwi na magonjwa mengine.