Madhara ya kujichua kwa mwanamke kwa kutumia vifaa
Kama ilivyo kwa jinsia ya kiume, kuna wanawake pia ni wahanga wa kufanya punyeto kwa kutumia vifaa tofauti tofauti.Haya ni baadhi ya madhara awezayopata mwanamke anayejichua;
1. Inaharibu kizazi
2. Inakufanya kua mvivu mara kwa mara
3. Unakuwa unakosa hamu ya tendo
4. Maumivu ukeni yasiyo na sababu
5. Uke kuwa mlegevu yaani mtepeto
6. Hupelekea uke kutoa maji maji mara kwa mara au maji yale ambayo utoka kabla ya tendo kuto kuwepo ivyo itakufanya kupata michubuko na maumivu makali wakati wa tendo.
7. Uwezi kuja kujua raha ya tendo ukizoea punyeto sana wewe dada.
8. Punyeto inafanya uke wa mwanamke kukosa ladha kabisa hiyo itapelea kukimbiwa na mmeo au mwenzako kutafuta kamchepuko kenye uke mtamu.
9. Na ukizoea punyeto itakufanya kuwa mtu wa hasira hasira kila mara
10. Punyeto ni hatari kwa afya yako pia ukiizoea sana itapekekea kufanya mapenzi ya jinsia moja.