Monday, December 16, 2019

SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa penzi lako kwake ni la kipekee


Anayekupenda ni mimi,watakaokutamani ni wengi,
tafuta dunia nzima penzi langu la kweli huwezi kulipata,
penzi langu kwako ni nuru daima halizimiki.