Sunday, December 8, 2019

SMS ya kumuomba umpendaye akukubalie

Pindi nikukumbukapo chozi langu huwa linatoka bila
sababu, kasi Ya mapigo ya moyo Huongezea Pasipo
Sababu, nimegundua Nakuhtaji Naomba Unikubalie.

*********

Mapigo yangu ya moyo huongezeka pindi nisipokuona japo kwa
dakika please mpenzi kaa karibu yangu utulize mapigo.