Monday, December 30, 2019

Jinsi ya kupika tamu sana kwa njia rahisi - Farwat's Kitchen (+Video)


VINAVYOHITAJIKA

  • Nyama nusu
  • Mchele nusu na robo
  • Vitunguu maji viwili
  • Carrot moja kubwa
  • Dania moja
  • Pilipili boga moja
  • Kitunguu thomu kilichopondwa 1&1/2 tbspn
  • Tomato 4-5
  • Viazi 10-12
  • Pilipili manga 1tbspn
  • Mdalasini 1tbspn
  • Bizari nyembamba(njira) 1tbspn
  • Mafuta ya uto kiasi
  • Chumvi kiasi


Hii pilau unaweza kula na pilipili ya kukaanga na link ya hiyo pilipili ndio Kama ifuatavyo

https://youtu.be/biuD4Iv9pO4


Instagram https://www.instagram.com/farwats_kitchen/


Jinsi ya kupika tamu sana kwa njia rahisi - Farwat's Kitchen (+Video)