Wednesday, December 4, 2019

Download nyimbo za Christmas hapa - Marry X-mass

Huu ni msimu wa sikukuu za Christmas, msimu wa kufurahia, kurudika na kusherekea. Tunajua burudani haiwezi kukamilika bila mziki nzuri na sisi tumekusogezea nyimbo zote za x-mass hapa hapa kiganjani mwako.

Nimekuwekea nyimbo 5 bora za kundi bora la muziki, 'Boney M'.unaweza ukasikiliza hapo chini moja moja na uka download au unaweza ukachukua file zima chini kabisa.

1. Boney M - Christmas Medley

2. Boney M - Jingle Bells

3. Boney M - Little Drummer Boy

4. Boney M - When A Child Is Born

5. Boney M - Joy To The World