Afrika ni moja ya bara lililobarikiwa kuwa na makabila mengi yenye mila na desturi tofauti tofauti. Leo nitakufahamisha kuhusu makabila ya watu toka Kaskazini mwa Namibia yajulikanayo kama Ovahimba na Ovazimba wanaoishi katika mkoa wa Kunene na Omusati.
BOFYA HAPA KUENDELEA KUSOMA -- Fahamu kabila ambalo Tendo La Ndoa ni heshima anayopewa mgeni