Sunday, January 20, 2019

Je bikra inaweza kutoka bila maumivu?

Je bikra inaweza kutoka bila maumivu?
Kama wewe ni bikra na unashindwa kutoa bikra yako sababu ya maumvu makali basi kuna mabo ya kufanya kuzuia maumivu hayo, kwanza nunua mafuta maalumu kwa jina la k gel ambazo hulainisha zaidi uke kuruhusu uume kupita, pia kuna dawa za nganzi za kupaka kwa jina la lidocaine cream ambazo zikipakwa saa moja ndani ya uke kabla ya tendo hupunguza maumivu kwa kiasi kikubwa sana.