Thursday, January 24, 2019

Audio mpya: Kweli - Ajuwae Onesmo Ft Masanja Mkandamizaji.

Audio mpya: Kweli - Ajuwae Onesmo Ft Masanja Mkandamizaji | Download
Audio mpya: Kweli - Ajuwae Onesmo Ft Masanja Mkandamizaji | Download
Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza leo tumekusogezea wimbo uitwao Kweli kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Ajuwae Onesmo akiwa amemshirikisha mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya (Masanja Mkandamizaji).