Wednesday, November 27, 2019

Meseji ya kumsisitiza mpenzi wako muendelee kupendana - sms za mapenzi

Meseji ya kumsisitiza mpenzi wako muendelee kupendana - sms za mapenzi

Wengi walisema penzi letu lisingedumu, lakini leo twawaacha midomo wazi kwa misengenyo yao isiyo na maana, tuendelee kupendana, wanafiki roho ziwaume!