Matokeo ya kidato cha nne 2018/2019. Tazama hapa
Matokeo ya kidato cha nne 2018/2019
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2018 ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 1.29 kutoka asilimia 77.09 mwaka 2017 hadi asilimia 78.38.
Matokeo ya kidato cha nne 2018/2019. Tazama hapa